Hapo anafikisha ujumbe ya kuwa barabara ni mbovu na hazifanyiwi matengenezo, ajira kwa vijana hakuna kwa hiyo anabuni mradi wa kufuga samaki katika mahandaki ya barabarani ili barabara zirudie katika hadhi ya kuongeza mapato ya taifa kwa ufugaji wa samaki badala ya kusafirisha bidhaa na wafanyabiashara kama ilivyokuwa hapo awali, hivyo kujenga ajira na kupunguza makali ya maisha kwa kuuza kitoweo kwa bei nafuu. Huu ni mtazamo wangu tu
Hivi huyo mtoto anavua/loposha samaki hapa barabarani? au nahitaji miwani?
ReplyDeleteHapo anafikisha ujumbe ya kuwa barabara ni mbovu na hazifanyiwi matengenezo, ajira kwa vijana hakuna kwa hiyo anabuni mradi wa kufuga samaki katika mahandaki ya barabarani ili barabara zirudie katika hadhi ya kuongeza mapato ya taifa kwa ufugaji wa samaki badala ya kusafirisha bidhaa na wafanyabiashara kama ilivyokuwa hapo awali, hivyo kujenga ajira na kupunguza makali ya maisha kwa kuuza kitoweo kwa bei nafuu.
ReplyDeleteHuu ni mtazamo wangu tu
Hahahaaa hii nimeipenda,huitaji ngumi wala mateke kufikisha ujumbe kwa mhusika.
ReplyDeletekweli pasi na maelezo kaka Chib na mimi nilikuwa nimepotea kabisa, yaani kwa kiswahili cha huku uswazi nilikuwa nimeingia chaka
ReplyDeletesiku njema kwako
Duh!
ReplyDelete