Tuesday, 8 March 2011

Happy Women's Day!

Leo ni siku ya Wanawake Duniani.
Kuna kila msemo unaohusu kuwaenzi akina mama, kwani umuhimu wao unajulikana duniani kote.

Sina jipya la kuongeza zaidi ya kuwapongeza wanawake wote Duniani!

Kila la heri na furaha kwenye siku ya wanawake Duniani!
    Happy Women's Day!
       Feliz Dia da Mulher!
              ¡Feliz Día de la Mujer!
                  Jour heureux de femmes!
                      Giorno felice delle donne! 
                             Счастливый день женщин!
                                    幸せな女性日!
De gelukkige Dag van Vrouwen!
Glücklicher Frauen-Tag!

7 comments:

  1. In every successful man there is a woman behind!

    ReplyDelete
  2. Thank you very much Chib !!!!!
    also in Dutch today :-)
    Its perfect written.

    Bedankt en tot ziens
    (Thanks en goodbye;)

    Hugs Anya

    ReplyDelete
  3. Tuwe na siku nzuri wanawake wote. Kingoni Tivyai Ligono labwina wadala woha!

    ReplyDelete
  4. Yaani.. kumejaa nyota nyota tu, kila mtu anaongea kwa lugha yake. Sasa sijui ndio furaha au...

    ReplyDelete
  5. Men couldn't function without women....!
    Thank's for drawing our attention to this...

    -Trevor

    ReplyDelete
  6. Happy Women's Day!

    Na kwa leo namaanisha ni kuanzia MKE wa mtu na mpaka KIMADA,...
    .... naombea siku zenu wote ziwe MURUA!

    ReplyDelete
  7. Hongera kwa siku hii muhimu kwa wanawake

    ReplyDelete