I need your support!
Kindly remove those bugs who are draining my life through corruptions.
Support me, please come on board, I promise to make you happy.
Without you... I am as good as dead!
Pleeeeaaaaaaaaaaase!
Have you changed your mind!
Thank you for your support... Fly with Air Tanzania!

Tutafanya hivyo nakuahidi!!
ReplyDeleteDa Yasinta, Mimi niwapo nyumbani, huwa ni mteja mzuri wa ATC, potelea mbali na huduma za kusua sua, lakini safari zangu zote za ATC sijawahi kukwama :-)
ReplyDeleteBasi kaka Chib, nadhani nitafuata mfano wako. Maana kuwapa faida wengine haina maana:-)
ReplyDeleteMimi nasubiri ahadi za rais wetu mpendwa alizotoa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu,kujenga viwanja vya ndege, kama atatimiza malengo yake kama alivyoahidi basi changamoto ya usafiri wa barabara itabakia kwa sisi walalahoi.
ReplyDeleteI would love it to fly with
ReplyDeleteait tanzania :-)
Chako ni chako tu, huo ndio mfano wa kupenda na kuthamini chako, ingawaje unaweza ukathamini, lakini wasikuthamini!
ReplyDeleteEe Bwana ni siku nyingi sijasafiri na Air Tanzania lakini safari ya mwisho kusafiri nayo bado kidogo tufie maeneo ya mto rufiji katika safari ya kutoka Dar kwenda Songea. Injini moja ilikufa aisee na tulirudi Dar chinichini yani!
ReplyDeleteEnzi hizo kwenda Songea hasa wakati wa mvua ilikuwa kasheshe sana hasa milimani Lukumbulu ambako ilikuwa ni fulu mfinyanzi na kupitika kasheshe.
Dawa ilikuwa Air Tanzania au ndege za jeshi za mizigo.
Tokea kipindi hicho uwoga wa Air Tanzania umetawala kwetu.:-(