Wednesday, 2 February 2011

Dar es Salaam, Tanzania

Leo nimekumbuka nyumbani!! 
 
Just enjoy a glimpse of Dar es Salaam City along the Zanzibar Ferry port, Tanzania

5 comments:

  1. kweli dsm ni kwenu?? si umekukana kwenu?? sema umeimiss dar na sio nyumbani,

    mmmfh

    ReplyDelete
  2. Mmmm kama umekukumbuka, sie inatuchosha maana joto, mchana hakutembeleki, usiku giza, umeme hakuna...wewe. mbu wanaimba utafikiri wapo katika mashindani ya `mbu star search...'

    ReplyDelete
  3. Dar kabisa!!!!
    Dawa ya kulevya!!!
    Kaa mbali utaiwaza!!!
    Kaa huko makubwa!!!
    Chib utakimbia weee!!!!

    ReplyDelete
  4. Hi
    Asante kwa kutembelea blog yangu - mimi nina furaha ni wa maslahi.
    Wewe pia kuwa na blog kweli kuvutia na mimi alijiunga kama mfuasi.
    Natumaini kuendelea kutembelea blog yangu purpletraveller.
    Kuhusu

    Trevor

    ReplyDelete
  5. Mkuu ! umenipandisha nyege ya DAR-es- SALAAM kweli!

    Ila kwa bahati mbaya ni memsoma M# aongeleavyo DAR!,...
    ... hilo joto M3 Aliongeleavyo nafikiri afadhali niende tu KIREKA , Morogoro na niruke hiyo KITU MWANANA!:-(

    ReplyDelete