Friday, 29 October 2010

Tafakari, Halafu Toa Jibu

Jamani, nilisema sitoi tena mambo ya uchaguzi, lakini kuna mtu amenichokoza na picha hii.

Natamani ningemjua aliyepiga au aliyeitoa hewani picha hii ili nimnukuu na kufuatilia wavuti au tovuti yake. 

8 comments:

  1. Pengine kura yake ya Uraisi anampa Kikwete na kura ya Ubunge anampa Mnyika.

    Ama pengine anavaa na kubeba bango kuchanganya watu, anawazuga, siri yake ipo ndani ya moyo wake.

    Ama amedata na anadatisha wengine.

    ReplyDelete
  2. Swali moja, majibu mengi, ha ha haa, natania hapo. Lakini Subi, nimekubali brain yako bado moto!

    ReplyDelete
  3. Subi katekenya nilichofikiria.

    Au jamaa hiyo ni kazi tu kwahiyo kwenda Morogoro atapiga debe watu wapande Abood Basi na Abood likiondoka anageuza kibao na kupigia debe HOOD basi yote ikiwa ni katika kuhangaikia ngawira pesa ndani ya siku.

    ReplyDelete
  4. Yup mtakatifu. Kumbe upo makini

    ReplyDelete
  5. Hii ni ya aina yake!
    Mimi naona ni ajira tu, akimaliza hapo, chap chap anaenda kampeni za chama kingine na kukusanya kidogo kidogo

    ReplyDelete
  6. ....Wanaitwa madalali wa kisiasa.....

    ReplyDelete
  7. Kumbe siasa nayo ina udalali?

    ReplyDelete