Dr Faustine, mwanablogu mwenzetu, ameingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge jimbo la Kigamboni Dar es Salaam.Ana ujumbe mfupi tu kwa wana-Kigamboni.
Anawaomba kura zao ili waweze kushirikiana pamoja kutatua kero zinazowakabili ili kuleta maendeleo ya kweli kwa Kigamboni.
Ni habari njema sana na natumaini utapata tu kura. Bahati mbaya kwangu ungepata kura zangu zote. Tupo pamoja.
ReplyDeleteDr Faustine Kumbe ndio maana hatukupati kwenye blog yako. King'anyiro si lelemama
ReplyDeletehafai, yaani hana mawazo ya mabadiliko kama kijana. kwanini asijiunge na upizani? mi simpi kuLa kwokwote
ReplyDeleteAhadi ziwe za kweli Kaka. Achana na Kamala, kwani upinzani wa kweli huanzia ndani
ReplyDelete