Tuesday, 17 August 2010

Safari


I will be away for a while.
I am travelling to attend important conference.

Nina matumaini tutakuwa pamoja pindi muda utakaporuhusu.
Tuendeleze mshikamano

7 comments:

  1. Kwanza nikutakie safari njema na pia mkutano(conference )njema.
    Mshikamano hujenga nchi sote kwa pamoja tutafanikiwa tu. Usipotee sana:-)

    ReplyDelete
  2. Safari njema natumai utatuletea habari nzuri kabisa

    ReplyDelete
  3. natamani ukiwa hilo dege, usikie mlio puuuuuuuuuuuu,mmmmmm tuone kama utaruka chini, harafu uone moto huku lubani akiwa amekufa ghafra, tune kama utaweza kwenda chooni, si moto utatokea chooni?? harafu ujimalizie kila kitu hapo ulipo.

    ghafra! ugundue kuwa sio kweli bali ni ndoto tu!!! wewe, patamu hapo

    ReplyDelete
  4. Natamani tungesafiri wote....LOL
    Nakutakia safari njema bro!

    ReplyDelete