![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEuekC2Z-GOQU1eV6-48pFeGHNdUTWpfaDbjWzsHeiORnNQ9nMjQRtb0HzQRmzhjo3srU2HD2Zi80d4b7RbrzBY_A5aqSa6w8T953nn7o4-9azq_RH-HdoSOiaqBB86z14em5aYyz9SC4/s280/posh.bmp)
Kwa wale ambao hawakupata bahati ya kusoma gazeti hili .....
Ukisikia vita ya kisiasa Tanzania, basi ujue sababu ndizo hizi.......
Ukumbuke pia, wanasema posho hazitoshi, na wanataka nyongeza. Achilia mbali kuitwa muheshimiwa, kamati za Bunge nk.
Ni wachache tu ndio wana dhamira ya kweli ya uwakilishi wa wananchi. Wengine wanawakilisha wenye nchi!!
na ndo maana uchakachuaji wa kura za maoni wa chama fulani ulikithiri/ulipindukia
ReplyDeleteMwaipopo...ha haa haaa
ReplyDeleteKweli tupu! Inashangaza pia kuona kwamba hata waliokuwa wabunge kwenye bunge lililopita eti nao wanapitisha vikapu wakiomba michango hata ya sh. 500. Wanatania ama? Mimi sitoi ng'o!
ReplyDeleteHi Chib!!!!
ReplyDeleteWell. i was away cause of my vacations.
Good see your blog again :)
Hugs!
Hi Chib!!!!
ReplyDeleteWell. i was away cause of my vacations.
Good see your blog again :)
Hugs!
Kwakweli hapo kuna ulaji, kinachotakiwa ni kuhakikisha unauchonga mdomo wako, na mkono hauwi wa birika au korosho, mwisho wa siku hela yako yote inarudi!
ReplyDeleteLakini, mmmmmh ipo siku utaulizwa hilo jasho la wanyonge ulilifuta vipi?
Kazi Ipo!:-(
ReplyDeleteKaazi kwelikweli hata mimi sitoe ngó ngóooooo
ReplyDeletenitagombea na mimi...na hizo hazikatwi kodi yoyote atiii.... :-(
ReplyDelete