Sunday, 1 August 2010

Lovely Sunday


Nimetingwa na kazi mpaka nimeshindwa kuandaa chochote cha kubadilishana mawazo nawe!
Jaribu kunikumbusha, au kubahatisha hapa ni wapi, maana nilishaondoka hapo kitambo
Nakutakia Jumapili njema!

5 comments:

  1. hata mia nimetingwa kama wewe kaka pamoja na kuwa likizo. nakutakia jpili njema nawe pia.

    ReplyDelete
  2. Hapo ni airport ndugu

    ReplyDelete
  3. Masangu .. wewe ndio umepatia, wengine naona walikuwa wanabahatisha tu :-)

    ReplyDelete