Wale wote wanaotarajia mafanikio, basi mwishoni mwa wiki hii nimejitolea kuwaombea kwa dhati kabisa, na Mungu awatangulie ili wapate mafanikio yaliyotukuka kadri wanavyokusudia. Na shetani ashindwe.
God bless You!
This photo..... well, I call it un expected snap.
Katika masuala muhimu yaliyojadiliwa ilikuwa ni pamoja na kuwa na ofisi ya kudumu ikiwa pamoja na samani, tovuti, na pia kuanzisha klabu kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kuandaa matamasha ya michezo hasa ya kujenga afya.
Pichani juu, maelezo kuhusu mti wa mawasiliano yakitolewa kwa wajumbe wote ndani ya ofisi ya ubalozi wa Tanzania, Rwanda.
Pichani juu, wakati wa utambulisho wa tovuti ya UTARWA, ambayo itakuwa na taarifa nyingi za nyumbani, hapa Rwanda, habari za magazeti na blogu mbalimbali.
Na hawa wa kijani chini ni wanachama na wapenzi wa Liberal Party wakiwa katika kampeni zao pia. Nao wana matumaini ya kushinda na kuweka historia kwa kuwa na rais wa kwanza kutoka katika chama chao.
Let's forget the hard times we had during the week long-days, and now let's focus on the most enjoyable coming weekend.
Pweza (pichani juu) ambaye anatunzwa kwenye nyumba maalumu ya viumbe maji (aquarium) huko Oberhausen, Ujerumani amejizolea umaarufu mkubwa kwa watu wa Ujerumani na kwingineko duniani mara baada ya kufanikiwa kubashiri matokeo ya timu ya Ujerumani kwenye kombe la dunia huko Afrika Kusini kwa kupatia kwa asilimia 100 ya matokeo yote ya Ujerumani. 