Monday, 10 May 2010

Hmhmm!!!! Tulikotoka?

When I was going through different blogs...... I came to realise that to acquire knowledge you don't need to go to the class.....
Blogging is more than going to the classes, at least that is what I can say......


Au wewe wasemaje
Kazi ya pitapita kwenye vibaraza vya watu, shule weeee..... za uswekennnnnn


12 comments:

  1. wow is that really a class in session?

    ReplyDelete
  2. Akili wanazofundishwa wachanganye na za kwao

    ReplyDelete
  3. I am sorry to say.... This must be a joke!!!
    So when it rains, means no school!!

    ReplyDelete
  4. sasa itabidi uanze kkulipia kila ukitembelea blogu yangu, NAKUKDAI

    ReplyDelete
  5. Yaani Blog ni darasa tosha tena ni free of charge.But hayo madarasa mmmh wakina nahiii watoto wao wanasoma ulayaaaaa, wa mkulima anakalia mawe na kusomea chini ya mti.What a big gap....shame on you the so called viongozi.

    ReplyDelete
  6. Its the truth !!
    But I want know more from your country
    (thats why I am here hehe.. :)

    ReplyDelete
  7. Je, hawa wanaweza kuja kuwa aina ya wapiga kura asilimia sabini na tano anaojivunia kikwete?

    ReplyDelete
  8. na hili nalo tunahitaji kuwalaumu wakoloni? kama alivyosema fadhy mtanga 'akili wanazozipata hapo darasani wachanganye na za kwao' watajua nani anawafanyia hivi 'hivi-hivi'

    to jamaipanese and tom, this is how things operate in this section of the so-called small world

    hakika bogu ni darasa

    ReplyDelete
  9. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  10. Taifa la kesho linajengwa!!!

    ReplyDelete
  11. Rais wa kesho yuleee!

    Halafu utashangaa akijakunogewa baadaye akipata nafasi ya kujilimbikizia kwa madai ni zamu yake.:-(

    ReplyDelete
  12. Samahani!
    Niliposema Rais Yulee hapo juu nilikuwa namaanisha katika picha ya chini yule ambaye hamuangalii Mwalimu na kageukia wanafunzi wenzake.
    NI HILO TU!:-(

    ReplyDelete