![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg_y-uPQE4YaC2TYuZHjvLPcgjI6en8oR33xK_kMEI6TndOpqmoyXoWYXD1-wZJoDvmQii7Bupm9whmyFDiC_oLPFtf1qCuKGpNoB9db3OjHNu1tUPAYjsdKt7jsfPoAaerpTdfc8w-8ks/s280/Vacation+118.jpg)
Watu tumezoea kuchukulia kitu au kuangalia kitu kijuujuu tu, na wala hatuchukui muda kuchunguza kwa ukaribu. Tunafikia kutoa maamuzi bila kuangalia kwa undani!!
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhBZUver1QjC8iTKQkdgClrSGB1VMpjOZxryUN5RvwUfUIPtr4o0CYvST63X_PuPZoXpM7-t6k_VrvMMgY0cwbz2fI1W_ufxFYgrSLxFijR7PJTHUopXEtN6xvJQIqLcluai917NRRhFJE/s280/Vacation+125.jpg)
Je, ulishawahi kutafakari kile ukionacho na kujua ya kuwa muonekano wake hautoshi bila kukichunguza na kujua kimebeba taswira gani
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjSg2Sn6itU2DIdqO99XZMHm8UJZUYRQwbZIpizkQDZXtU_zoL3fCJnToZrT7qD_zFMnfdGw5Zx7wLaZJBpcHXD7gj3g4KgcyrOUHAc4G1f4vZfVcdl077F4RwmjBVOLqYu-dfwgS06vLE/s280/Vacation+124.jpg)
Kuvamia kitu kijuu juu tu kunaweza kukufanya uingie matatani.
Joto ya jiwe......... aijuaye......
Siku njema :-(
Precious place! Lovely animal ;)
ReplyDeleteNi kweli mara nyingi hatuchunguzi kwa undani. nikiangalia naona ramani ya Afrika na pia mjusi anaota jua:-)
ReplyDeleteamelikalia na kulipumulia via southern...
ReplyDeleteNilitaka kusema jiwe limekaa kama shato za NASA zipelekazo wanaanga kwenye space station ila rafiki yangu yeye anaona linasura ya utupu wa kiumbe chanaume.
ReplyDeleteLakini KUNAUWEZEKANO mtu ukichunguza kwa karibu sana vitu vingi uvipendavyo unaweza kustukia unavipenda VITU VINGI kwa mbali.:-(
hilo nalo neno.
ReplyDeleteFalsafa nzito...
ReplyDelete