Wednesday, 21 April 2010

Short of Words

Famously nicknamed by many people as The city cleaner

Nimekosa la kuandika, ninamkodolea macho tu huyu bwana usafi

7 comments:

  1. Wala hujakosa la kuandika ndo maana umeandika.
    Picha nzuri kweli kweli.

    ReplyDelete
  2. Beautiful Pic. The rock, the bird, the flora!!

    ReplyDelete
  3. The bottom photo is hard to imagine a rock so large.

    ReplyDelete
  4. Kaka Chib hujui tu wengine tumefrahia vipi maana hatujafika huko ni taswira nzuri sana. Ahsante na usikose kuweka picha nyingine nyingi ngingi ngingi!!!!

    ReplyDelete
  5. Picha safi sana, ila Kamala umenivunja mbavu, maana huo weupe kwenye jabali ni kinyesi cha ndege huyohuyo ha ha ha

    ReplyDelete