Aaaaarrrgh, I have problem with my network from friday evening, on... off.....on... off
Kuna matatizo ya mtandao hapa kwangu, mtandao unakatika katika sana tangu ijumaa jioni, nashindwa kutoa vibandiko vyangu, nina matumaini mambo yakiwa sawa itakuwa rahisi kubandika na pia kusoma blog za watu wangu wooote
Nawatakia Jumapili njema.
Pole sana kaka. Uwe na Jumapili maridhawa.
ReplyDeletepole sana kaka Chib. Na pia nakutakia j2 njema nawe pia.
ReplyDeletepoleeeeeeeeeeeeeeeee!!! I know how that feels, kero mpaka basi, unatamani kuipiga teke computer ila who is gonna lose? lol have a great sunday n the coming week
ReplyDeletePole sana jpili njema na kwako pia
ReplyDeleteOh, this things happen....but now you`re on, right?
ReplyDeleteSee you!
Matatizo ya kisasa hayo ambayo hayakuwahi kuwapata MABABU ZETU!:-(
ReplyDeleteYani siku hizi ukiniondolea mtandao na simu inakuwa bonge la tatizo kitu ambacho ni chaa ajabu hasa ukizingatia upya wa tegemezi la hivi vitu.
Lakini pole sana MKUU na Jumapili njema!