Thursday, 14 January 2010

Haiti and Quake

Kisiwa cha Haiti kimepigwa na janga kali ya tetemeko la ardhi ambalo mpaka sasa idadi ya watu waliokufa haijajulikana, lakini inakadiriwa kuwa ni zaidi ya watu 100,000.

Mawasiliano kwa njia ya simu na internet yamekatika hivyo kufanya hali kuwa mbaya zaidi kwenye masuala ya uokoaji wa watu waliokwama kwenye vifusi.



Wananchi wamekuwa wakilala nje sasa kwa siku 2, huku wakiwa na upungufu wa madawa na chakula

Hata hivyo Marekani na nchi nyingine zimetoa ahadi ya msaada wa dola zaidi ya bilioni 1 kwa ajili ya madawa, vifaa vya uokozi na kuijenga upya Haiti.
Mwaka jana Haiti ilipigwa na kimbunga cha HurricaneS na kusababisha hasara kubwa.
Picha kutoka MSNBC.COM

8 comments:

  1. Poleni sana wanaHaiti na pia pole ulimwengu mzima kwani ni shida ya wote. Nategemea mwaka hivi maana inaonyesha kama utakuwa mwaka mbya ajali zinaanza mwanzoni tu mwa mwaka Duh!
    Upendo na Amani Daima.

    ReplyDelete
  2. The strongest one I felt was a 4.9R a couple of years ago...can't imagine what would have happend to Athens with such a strong earthquake.

    ReplyDelete
  3. Watu wa Haiti, we are sorry for them

    ReplyDelete
  4. Watu wa Haiti, we are sorry for them

    ReplyDelete
  5. А сегодня день архивного работника. У вас на сайте есть "Архив"? Можете праздновать! :))

    ReplyDelete
  6. У нас в жж за такой пост бы закидали какашками в каментах:)

    ReplyDelete
  7. Подскажите, а у вас сквозную ссылку купить можно? Если да, сообщите цену на мыло, пожалуйста?

    ReplyDelete