Wednesday, 2 December 2009

Bwana Madevu


Ufugaji wa ndevu upo wa aina nyingi.
Wakati mwingine ni vizuri utoke kivyako vyako. Lakini yote kwa yote... this is very funny.
Sifahamu usafi wa meno nk anaufanyaje, na kama ana wife.... Duh!!
Image form Holiday Matinee

4 comments:

  1. Kwanza nilifikiri amezichukua nyweli zake toka kisogoni na kuweka usono. Yaani nimecheka kweli mpaka mbavu zaniuma. Kazi kwelikweli!!!

    ReplyDelete
  2. This is very funny kaka. Huyu jamaa ni noma. Ahsante kwa kunifanya kufurahi usiku huu.

    ReplyDelete
  3. napenda kuwa na ndevu ndefu kuliko zake, nifanyeje?

    ReplyDelete