Thursday, 5 November 2009

Taifa Stars Yafungwa Misri

Mechi ya kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania na Misri imemalizika kama dakika 5 zilizopita kwa Tanzania kufungwa mabao 5 - 1

Tanzania ikiwa imevalia jezi nyeupe na michirizi ya njano na kijani, haikuweza kufua dafu kwa ma-pharaoh wa Misri.

Wakati naitizama mechi hiyo, nilifikiri wamewakodi Abajalo FC.

Tunasubiri mechi kati ya Taifa Stars na Yemen sasa

8 comments:

  1. TZ kimichezo bado kazi ipo!
    Kiuchumi miye chichemi!

    Lakini tutafika tu!

    ReplyDelete
  2. hi friend, just dropping by to say, have a great days ahead.

    ReplyDelete
  3. Mie bado nadhani hayo matano ni kiduchu kutoka kwa mafarao na hivyo nadhani kilikuwa kipimio sahihi.

    ReplyDelete
  4. Tutafika tu polepole ndo mwendo:-)

    ReplyDelete
  5. nadhani haya ni mafanikio ya maximo na taifa staz ya aina yake. maana katika hali ya kawaida tu hawaamini kuwa wameweza kupata hata hilo moja ni wazi kuwa walikwenda kutalii na kubadilisha mazingira. labda lengo ilikuwa kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi kwa vitendo

    ReplyDelete
  6. mdoti Com-kom ! Ha ha haaa

    ReplyDelete
  7. ha! ha! ha! huyu anomimas wa juu nani kamwambia mpira wa miguu unachezwa kitandani? kwa hiyo wachezaji wetu tuwapi hizo dozi? LOL!

    ReplyDelete