Wednesday, 23 September 2009

Katizo la muda

Wapendwa wana blog

Leo nimekumbuka nyumbani.
Nimetoka ofisini moja kwa moja kuelekea airport. Natumaini usiku huu nitakuwa Dar es salaam.
Mkiona kimya basi mjue ndio nipo njiani.

Tukutane tena baadaye kwa habari motomoto za nyumbani

7 comments:

  1. Safiri salama na karibu sana nyumbani.

    ReplyDelete
  2. Nakutakia safari njema na pia natamani nami ningekuwa nyumbani kwani umenitamanisha sana. Ok uwe na wakati mzuri.

    ReplyDelete
  3. Karibu Bongo,bado tambararee'''

    ReplyDelete
  4. Safari njema na salimia wadau wote

    ReplyDelete