![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizbI6rL4BwA-PMhIRpNhHjFDBjAhi2IhcO13Om9_OtHSB4i6Urvdm4iKksxPV6ELzcu-cDljtygFmcBwNOhuJpvwpUf5v9TzcxEgvB5rL9R6jhZQIMSv5YyHgYdMC2JbIWLGKp7gpHhPU/s320/MKAA.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjbPBWYNx-KrO6WQnLXyVVznvtLVCinN7B_JtMB1DqMxGvphQ50HECiVPwhaFdswcojfA2kCnlklogy5o41mjTwDkmColyH6xYYq_R87Vo2mEbfVL6-CD8JD743dIE8m5hp-l9AW-7DHOU/s320/Mikanda.jpg)
Where do we come from......, and where do we go.................!!!!!
Na askari wa usalama barabarani atawaacha hivyo hivyo, wamebeba rasrimali ya nchi, wakiendeleza kajangwa, na bado wamekalia raslimali katika hali inayohatarisha maisha yao.
Na vijana, nguvu za uzalishaji wanazo, lakini..... Mobile shop!!!
Imeshasemwa kuchanganya wtu na mizigo ni hatari lakini imesemwa tu hakuna utekelezaji.
ReplyDeleteNilipokuwa nyumbani nikaitwa na kuambiwa wauza urembo wanapita kama unataka kitu yaani wanatembea hao. Nina swali je nikinunua kitu kwao na bahati mbaya hakinitoshi je? ntabadili wapi? hawakai sehemu moja hili ndo tatizo.
hey there,
ReplyDeleteeven though i can't understand the language, i always enjoy to see all those photos.
hi chib! when you have time check out my post from this morning! wait until you see what i found! joyce
ReplyDeleteInteresting how it helps with the imagination to transport goods, a world that no longer exists in the West, good and bad, here are more easily and wealth, but missing the happiness and was no longer alone.
ReplyDeleteHello Chib
Marlow
Inafurahisha tunapojitahidi kweli. Hii ni namna nzuri ya kujituma licha ya kwamba sheria inakuwa inalega hapa,lakini walau tunaonyesha kufanya jambo la kimaendeleo.
ReplyDelete