Thursday, 23 July 2009

My thought today - Wazo langu Leo




Does... God was unfair!!
He creates ... some ..to eat in order to live
And He creates others to live in order to eat!!!!.
Je ni kweli Mungu si muungwana!!!! Kaumba viumbe wengine wale ili waishi..... na wengine waishi ili wale.


5 comments:

  1. Niungane na mtakatifu Simon kusema DUH!

    ReplyDelete
  2. Wanaoishi ili wale ni wanasiasa tu

    ReplyDelete
  3. Kiumbe chochote ili kiishi ni lazima kile hivyo kula ni sehemu ya maisha.,huna uhai huliii.

    ReplyDelete