Sunday, 7 June 2009

My tour in Prague - Czech Republic


Ilikuwa ni furaha kubwa sana kukutana na watanzania wenzangu wanaoishi Czech, tabasamu na bashasha kama unavyoona mwenyewe.
Kutoka kushoto, Imani Kondo (Zemarcopolo), Claudi (Brain), Shuma (Mwenye miwani) na Mgeni wa mji.

9 comments:

  1. I see!! Yaani Claudi ndio kachana hivyo. Naona mambo yake si haba

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli ni raha sana uendapo sehemu na kukutana na mtu atakae utakapo. Wasalimie wote

    ReplyDelete
  3. kidogo tu nimuoe mzungu wa huko hofu ikanitanda nikachomoa fuse

    ReplyDelete
  4. Na ukizingatia kuna wengine tulionana mara ya mwisho kama miaka 16 iliyopita!
    Kamala, mapenzi ya kweli hayachagui rangi, dini, kabila, wajihi au utaifa. Nafikiri wewe hukuwa tayari ndio maana hofu ilikutanda.

    ReplyDelete
  5. Kuna mtu hapo tokea nianze kublogu namjua jina ila leo ndio nimeoanisha jina na sura. Na ni huyu Mkuu wa kwanza kushoto.

    ReplyDelete
  6. Sawasawa Mkuu wa milima ya Uluguru, nimekusoma.

    ReplyDelete
  7. good afternoon everyone. I'm really into shoes and I have been searching for that exact model. The prices seeking the boots are about 210 dollars everwhere. But definitively I found this area selling them someone is concerned half price. I exceptionally want these [url=http://www.shoesempire.com]prada sneakers[/url]. I will probably purchase them. what can you say about it?

    ReplyDelete