Monday, 1 June 2009

Magari ya Zamaniii

Nilikuwa nafikiri ni wachagga tu ndio wanaohusudu magari ya kizamani, lakini kumbe…..

Labda waliiga kwa Wajerumani

1 comment:

  1. Acha utani na wachaga. Nani kakuambia kuwa wanataka magari ya kizamani!! Naona umechanganya na wapare

    ReplyDelete