saafi sana. hata mimi nikiwa kwetu huwa naendesha sana na nikaiamia mkoani ndo utakuwa usafiri wangu lakini wingi huo ukirudi si unajichulia yoyote ile? utaijuaje ya kwako?
Ni kweli utaratibu huo ni mzuri, pia kiafya ni sehemu ya mazoezi kuendesha baiskeli.
Kwa uwingi huo, Bw Kamala, ni kweli, nafikiri inabidi uwe na kumbukumbu nzuri sana ya mahali ulipoiacha, au uiwekee kitu kama alarm na taa, ukifika unabonyeza na kuanza kuangalia ipi ita blink!!
Inaonekana huko wanatumia kweli baiskeli. Safi sana na ni utaratibu mzuri wanao.
ReplyDeletesaafi sana. hata mimi nikiwa kwetu huwa naendesha sana na nikaiamia mkoani ndo utakuwa usafiri wangu lakini wingi huo ukirudi si unajichulia yoyote ile? utaijuaje ya kwako?
ReplyDeleteNi kweli utaratibu huo ni mzuri, pia kiafya ni sehemu ya mazoezi kuendesha baiskeli.
ReplyDeleteKwa uwingi huo, Bw Kamala, ni kweli, nafikiri inabidi uwe na kumbukumbu nzuri sana ya mahali ulipoiacha, au uiwekee kitu kama alarm na taa, ukifika unabonyeza na kuanza kuangalia ipi ita blink!!
hi..are you back yet? what a fun trip! joyce
ReplyDeleteI am still in Germany. Food is great here!
ReplyDeleteWatu wanaojua kufanya utaratibu inaonyesha huko hawatumii sana magari, Kwa hali hewa ilivyo na utulivu wa watu.
ReplyDeleteOk chib,the tangle of bicycles is now yours.
ReplyDeleteMarlow
Ukianza kuendesha baiskeli Dar es salaam uneonekana choka mbaya AKA umefulia.
ReplyDeleteEgidio umenichekesha
ReplyDelete