tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post9171997567131803976..comments2023-11-03T15:02:32.204+03:00Comments on Hadubini - My-o-scope: Rwanda: Wakesha Kwa Bashasha na Sherehechibhttp://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-72605245968646274072010-08-24T18:58:43.859+03:002010-08-24T18:58:43.859+03:00Johnson, mie kinachoniudhi hapa, ni mapumziko ya k...Johnson, mie kinachoniudhi hapa, ni mapumziko ya kushtukiza yaani mtu anapojisikia. Saa nyingine utajkuta tumeenda mpaka ofisini, na kuelezwa ati asubuhi hiyo wametangaza mapumziko, saa nyingine watu wanadamka mapema na kupeleka watoto shule, wakifika, geti limefungwa, ati sikukuu imetangazwa siku hiyo, wakati mwingine tunakuwa tumechoka na kutaka kulala zaidi, sasa.... upo hapooochibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-17099335526029286022010-08-18T13:20:42.602+03:002010-08-18T13:20:42.602+03:00hahaha!ungejua mapema ungefanyaje Chib?hahaha unge...hahaha!ungejua mapema ungefanyaje Chib?hahaha ungekuja tz chap?au ungekesha nao?thanks for these news, hivi ni kutoka mioyoni wanyarwanda wanampenda kagame?na wanaompinga wanampinga toka moyoni au ni uchu wa madaraka?au ni kutoa changamoto tu?au ni mamluki?waliotumwa na Kagame ili kuonesha kuna vyama vingi ila kiukweli ni walewale?kuna mengi siyaelewi naona nipo gizani plz Chib naomba unieleweshe.<br /><br />Johnson Minjamjasiriamalinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-19836474672716250652010-08-10T10:32:01.422+03:002010-08-10T10:32:01.422+03:00Asante sana Doc Chib kwa updates. Nafurahi kusoma ...Asante sana Doc Chib kwa updates. Nafurahi kusoma kutoka 'jikoni'.<br />Hongera kwa siku ya mapumziko ya kustukiza na pole in advance kwa ajili ya kesho.Subi Nuktahttps://www.blogger.com/profile/01076447163143596978noreply@blogger.com