tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post9168612039095602899..comments2023-11-03T15:02:32.204+03:00Comments on Hadubini - My-o-scope: Tanesco Yaanzisha Bloguchibhttp://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-5590943034440839812010-12-03T16:18:20.621+03:002010-12-03T16:18:20.621+03:00duhu! heri mimi naishi Bukoba!duhu! heri mimi naishi Bukoba!kamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-14154212637069212232010-12-02T17:15:38.956+03:002010-12-02T17:15:38.956+03:00SIna uhakika na hili ingawa najitahidi kweli kuwa ...SIna uhakika na hili ingawa najitahidi kweli kuwa chanya aka OPTIMISTIC!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-39992023040946576952010-12-02T16:16:35.640+03:002010-12-02T16:16:35.640+03:00Miaka na miaka nilizoea kuona visanduku vya maoni ...Miaka na miaka nilizoea kuona visanduku vya maoni katika milango ya kuingilia katika ofisi nyingi za serikali. Naamini kwamba wananchi walikuwa wanatumbukiza vikaratasi vyenye maoni yao humo - pengine wakilalamika kuhusu rushwa, uzembe, uonevu na hata kusifia pale walipofanyiwa mema.

Je, kuna mtu aliyekuwa anatilia maanani na kufanyia kazi maoni ya wananchi hawa? Kama jibu ni ndiyo mbona hakukuwa na mabadiliko yo yote kuhusu kero kama rushwa na uzembe katika sehemu za kazi?

Sioni jipya hapa. Kama mfumo umeoza basi hakuna cho chote kitakachobadilika. Watu watatoa maoni na mapendekezo weeeeee lakini bila kubadili mfumo hakuna kitakachobadilika. Nadhani ambacho kila Mtanzania anataka kusikia ni lini Tanesco itaweza kuwa na uwezo wa kutoa umeme wa kuaminikia kwa siku 365 kwa mwaka na siyo vinginevyo. Angepatikana mshindani katika sekta hii ya umeme pengine nayo ingesaidia na kuwaamisha hawa Tanesco.

Ngoja tuone kama hii blogu itasaidia chochote!Masangu Matondo Nzuzullimahttp://matondo.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-91862896296605021552010-12-02T15:14:08.921+03:002010-12-02T15:14:08.921+03:00alhamdullillah.....nashukuru sana kwa kutujuza jam...alhamdullillah.....nashukuru sana kwa kutujuza jambo hili....kilichobaki sasa ni kuhamia huko kwenye blog tuone kwanza wanasema niniFadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.com