tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post8706176951184141868..comments2023-11-03T15:02:32.204+03:00Comments on Hadubini - My-o-scope: Mafua ya Nguruwe - Rwandachibhttp://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-71884776685464289602009-10-20T15:44:22.810+03:002009-10-20T15:44:22.810+03:00Sikueleweka vizuri, aliyeleta mafua hayo ni waziri...Sikueleweka vizuri, aliyeleta mafua hayo ni waziri mwenyewe, na watu aliowaambukiza wa kwanza walikuwa ni watoto wake mwenyewe. Baadaye watu wengine waliambukizwa kutoka kwa watoto wake. Kuna shule zimefungwa kwa sasachibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-7387129508078164712009-10-19T19:11:10.589+03:002009-10-19T19:11:10.589+03:00Mafua ya nguruwe yananipa ahueni kwa kitu kimoja t...Mafua ya nguruwe yananipa ahueni kwa kitu kimoja tu; hayahusiani na masikini na mafukara. ona sasa kumbe ni mtoto wa kigogo ndo kaenda huko na kuyazoa ya kuyazoa na kuleta rwanda. nina wasiwasi pia aliowaambukiza sio pangu pakavu tia mchuzi.<br /><br />hilo la kufukuzwa kazi huyo mtu namuachia ngoswe. kubeba mifua waibebe wenyewe huko kwenye picnic zao ulaya, kazi afukuzwe mwingine. kweli inzi hata aruke vipi hawezzi kuwa ndege asilaniJohn Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-3614922543049331382009-10-19T18:35:14.647+03:002009-10-19T18:35:14.647+03:00Nashukuru kama hakujatokea kifa. Hata sisi hapa um...Nashukuru kama hakujatokea kifa. Hata sisi hapa umefika na mtu mmoja amekufa.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com