tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post8425311974996184569..comments2023-11-03T15:02:32.204+03:00Comments on Hadubini - My-o-scope: Japan Yakumbwa na Tsunamichibhttp://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-17085092373537075302011-03-14T19:25:47.714+03:002011-03-14T19:25:47.714+03:00Inasikisha sana. Mwenyezi Mungu atunusuru.Inasikisha sana. Mwenyezi Mungu atunusuru.Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-79323551114480870092011-03-11T21:56:33.254+03:002011-03-11T21:56:33.254+03:00Mungu Awalinde kuwafariji. Kama binadamu bado kuna...Mungu Awalinde kuwafariji. Kama binadamu bado kuna mambo ambayo yako juu ya uwezo wetu wa kiakili, kiroho na kimwili...Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-2714751975972491982011-03-11T21:12:32.399+03:002011-03-11T21:12:32.399+03:00@Mkuu John: Halafu napafahamu kabisa pale mmomonyo...@Mkuu John: Halafu napafahamu kabisa pale mmomonyoko wa ardhi ulipotokea na nishawahi kupita maeneo hata kwa kutafuta denge ambayo ndio pombe ya kienyeji kule.:-(

Naona hapa duniani pakukimbilia siku yako ikifika hapapatikani.

Leo hii hii nnimesikia kuna mtu jumapili alifariki kwenye kanisa fulani kisa kapaliwa na mvinyo na kimkate cha chakula cha bwana!:-(

Ubinadamu nishai yani leo unaweza kuwa Charles Taylor Rais wa Liberia kesho Mfungwa kwa wadachi huku waafrika wenzako wakishangilia!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-72637028156563567002011-03-11T21:05:40.249+03:002011-03-11T21:05:40.249+03:00Mungu ndiye mpangaji wa yote. Huumba na huumbua pi...Mungu ndiye mpangaji wa yote. Huumba na huumbua pia. Ukuu na utukufu wake utamalaki.

Mungu awajaalie rehema, neema na uvumilivu katika gharika hili.

@ simoni, kumbe dili ni kujisogeza milimani? lakini kule 'thame' hata milimani land slide zilitokea hivi karibuni.John Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-46222487959218898392011-03-11T20:48:57.524+03:002011-03-11T20:48:57.524+03:00Duuuh Mungu na awalinde,maana hii inatisha.Duuuh Mungu na awalinde,maana hii inatisha.EDNAhttps://www.blogger.com/profile/09635503380563352597noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-15573041481635976452011-03-11T18:12:54.746+03:002011-03-11T18:12:54.746+03:00Pole zao !
Tsunami zimeniondoa kabisa hamu ya kuw...Pole zao !

Tsunami zimeniondoa kabisa hamu ya kuwa na nyumba ufukweni, kwa maana TETEMEKO linabwenga Japani wewe umejilalia Hawaii uko swari tu ghafla Tsunami limekufuata mpaka huko.

Si inakumbukwa lile tetemeko jingine lililoikumba Thailand na nchi za maeneo yake mawimbi makubwa yalikuja mpaka East Afrika kwa waliojituliza tu ufukweni bila kujua kuna wimbi linawajia?Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-87092571327308492062011-03-11T15:07:27.094+03:002011-03-11T15:07:27.094+03:00Hizo ni dalili za kuonyesha utukufu wake, kuwa kun...Hizo ni dalili za kuonyesha utukufu wake, kuwa kuna mambo tutajitahidi lakinimengine yanategemea utashi wake...Nakuunga mkono Mkuu Malkiory.
Wasiwasi wangu ni kuwa huyu jamaa SUNAMI akianza anakwenda mbali zaidi ya wanavyokadiria, sasa ni vyema huku kwetu tukajihami,...ufukweni huko muwe waangalifuemu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-57295021726452534502011-03-11T14:20:16.816+03:002011-03-11T14:20:16.816+03:00Mungu awafariji katika kipindi hiki kigumu cha maa...Mungu awafariji katika kipindi hiki kigumu cha maafa ya Tsunami. Hapa ndipo ukomo wa sayansi,maarifa na uwezo wa binadamu.Tupende tusipende lazima tuamini katika uwepo wa mungu.malkioryhttps://www.blogger.com/profile/05134160827358623563noreply@blogger.com