tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post6075760605295950454..comments2023-11-03T15:02:32.204+03:00Comments on Hadubini - My-o-scope: Wimbi la Kuondoa Marais Waliokaa Muda Mrefu Afrikachibhttp://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-88160545879266667472011-01-27T14:57:53.519+03:002011-01-27T14:57:53.519+03:00Lakini kazi kama uraisi, utakuwaje hujui nini la k...Lakini kazi kama uraisi, utakuwaje hujui nini la kufanya nyumbani, nafikiri hata akistaafu bado marupurupu yatakuwawepo...labda wenzangu na sie ambao ukistaafu ujue unakwenda kujifia, maana huna akiba, huna kigango wala dungu...utakuwa nalo vipi wakati mshahara ulikuwa `haujai kiganja...mmmh
Mabadiliko ni lazima, na vuguvugu hili, kama viongozi wenye busara watalielewa ni heri waache ngazi mapema, wkani sasa `uongozi utakuwa kiti cha moto'emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-33979229733330708522011-01-27T05:48:56.358+03:002011-01-27T05:48:56.358+03:00Nahisi kuna viongozi UONGOZI hugeuka kuwa ndio id...Nahisi kuna viongozi UONGOZI hugeuka kuwa ndio identity yao na wanaogopa kutoka kwakuwa wakiacha kuitwa VIONGOZI inakuwa ndio basi tena hata umuhimu wa maisha yao hupotea.

Tatizo hili naliona sana hata kwa waachishwao kazi ghafla ambao hawaachi kuondoka majumbani mwao asubuhi na kujifanya wameenda ofisini au hata wale wafikiao KURITAYA ambao unakuta nyumbani hapakaliki kwa kuwa hawajui hata nini wafanye nyumbani.

NI mtazamo tu!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com