tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post5393196522285510419..comments2023-11-03T15:02:32.204+03:00Comments on Hadubini - My-o-scope: Gwiji la Muziki Remmy Mtoro Ongala Afariki Duniachibhttp://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-5064804610491572992010-12-14T11:22:09.183+03:002010-12-14T11:22:09.183+03:00RIP dokta remmy.
kati ya nyimbo zake huwa sichoki...RIP dokta remmy.

kati ya nyimbo zake huwa sichoki kuusikiliza 'Karola'

kipande cha kwanza kinaenda hivi:

"Ukiwa mtenda mabaya
wewe mwenyewe haujijui
Ukiwa mtenda mabaya
kila siku unasema unaonewa
Ukiwa mtenda mabaya
huko unakokwenda ni pabaya
Ukiwa na roho mbaya eeh
kweli tutakuogopa
Ukiwa na pesa nyingi
usahau hata ndugu zako
kweli walimwengu hawana wema
Mola awape nini"

katika wimbo huu tumba, saxaphone na solo guitar la yeye mwenyewe huwa vinanikuna. hasa tumba.

Remmy Ongala katutangulia lakini nyuma kaacha kielelezo cha muziki wa dansi iliyo hai. Kifo chake kinathibitisha kutokomea muziki wa dansi na kushamiri huu wa "ubongo wa fleva"

hakika ni pengo

Hilo la sura mbaya liliteta zogo nchini tanzania. mshindi aliitwa masoud. dk remmy alidai kuwa masoud hakuwa na sura mbaya bali alikuwa na maradhi ya ngozi ya usoni. kama sijasahau wa tatu alikuwa mzee jangala.John Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-70247659459266876402010-12-14T09:18:30.982+03:002010-12-14T09:18:30.982+03:00Amina, katangulia mbele za haki!Amina, katangulia mbele za haki!emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-43385047538911693132010-12-13T17:01:11.546+03:002010-12-13T17:01:11.546+03:00Amen, AmenAmen, Amenchibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-20070185993437625492010-12-13T16:27:57.226+03:002010-12-13T16:27:57.226+03:00Astarehe kwa amani ametangulia nasi tutakuja huko ...Astarehe kwa amani ametangulia nasi tutakuja huko huko. AminaYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-79377004292918367182010-12-13T16:26:19.979+03:002010-12-13T16:26:19.979+03:00R.I.P!R.I.P!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com