tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post4997450483675970649..comments2023-11-03T15:02:32.204+03:00Comments on Hadubini - My-o-scope: Mauaji ya Norway: Ukatili Dhidi ya Haki ya Kuishichibhttp://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-70982652670029443452011-07-27T14:56:09.305+03:002011-07-27T14:56:09.305+03:00Dhambi aliyotenda kwa wanorway kamwe haitasahaulik...Dhambi aliyotenda kwa wanorway kamwe haitasahaulika.Cha ajabu wanasema endapo atapatikana na hatia ya hayo mauaji atatumikia miaka 21 jela, WHAT IS 21 YRS? kwa muuaji kama huyu? that means akitoka atakuwa na umri wa miaka 53umri ambao bado atakuwa ni kijana mwenye nguvu zake kufanya uhalifu wa aina yoyote tena,na hebu fikiria wale waliopoteza ndugu zao ,rafiki watoto zao na hata wale walionusurika watakuwa wakimuona akikatiza mitaa bila wasiwasi.Anyway let`s wait and see.EDNAhttps://www.blogger.com/profile/09635503380563352597noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-64222635988027132642011-07-26T14:04:46.827+03:002011-07-26T14:04:46.827+03:00Mungu wabariki watu Norway na uwaokoe na majanga h...Mungu wabariki watu Norway na uwaokoe na majanga haya!!!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-19498956324463185922011-07-25T08:26:34.757+03:002011-07-25T08:26:34.757+03:00Huyu yeye hawezi kuita GAIDI?Huyu yeye hawezi kuita GAIDI?emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-5908144239175908752011-07-25T04:25:48.642+03:002011-07-25T04:25:48.642+03:00Huyu jamaa anahitaji uchunguzi mkali wa kisaikoloj...Huyu jamaa anahitaji uchunguzi mkali wa kisaikolojia. Huenda anaweza akatusaidia sana kama binadamu sisi ili tuelewe ni chombo gani hasa tunaobeba juu ya mabega yetu, kile kinachozungukwa na masikio yaani.<br /><br />Asante kwa picha, Mkuu; asante kwa kunivutia ili nisome stori la sivyo nilikuwa naikwepa kwa pilikapilika zangu nyingi kortini za huku Afrika Kusini.<br /><br />Sasa hicho kidevu chake ndio mtindo mpya wa vichaa huko Norway au mimi nimepitwa na wakati? LOL!Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.com