tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post4829535923084950788..comments2023-11-03T15:02:32.204+03:00Comments on Hadubini - My-o-scope: Tafakari ya Wikiendichibhttp://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-18488656960862689632010-01-23T12:00:50.035+03:002010-01-23T12:00:50.035+03:00chumba chako kuna nyani hata kama humwoni!chumba chako kuna nyani hata kama humwoni!kamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-42499610750933567942010-01-23T00:24:30.777+03:002010-01-23T00:24:30.777+03:00Mimi naona huyo nyani kama kahifadhi au kaficha ki...Mimi naona huyo nyani kama kahifadhi au kaficha kitu fulani. Huo ni ujumbe tosha kwamba watu wajikinge na janga la ukimwi huko vyumbani!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-38646170303706336622010-01-22T20:47:38.179+03:002010-01-22T20:47:38.179+03:00@ Mwaipopo.... :-)@ Mwaipopo.... :-)chibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-17190112098232195492010-01-22T20:37:31.786+03:002010-01-22T20:37:31.786+03:00inaonyesha 'jasiri haachi asili' ikimaanis...inaonyesha 'jasiri haachi asili' ikimaanisha binadamu eti tuliwaigi kuwa nyani. swali: mbona nyani wa siku hizi hawaelekei kuwa binadamu siku za mbele?<br /><br />kazi ipoJohn Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-56974522335066061122010-01-22T16:47:26.764+03:002010-01-22T16:47:26.764+03:00Sikuwa na wazo lolote, lakini kwa mawazo hayo hapo...Sikuwa na wazo lolote, lakini kwa mawazo hayo hapo juu, ninamuona nyani yeye ametabasamu tu, tena kakaa kitako, sasa sijui anamfurahia mgeni au ana ashiria kuwa wanyama wana akili zaidi kuliko binadamu kwa sasaJuma4noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-41061322277617821162010-01-22T15:47:13.364+03:002010-01-22T15:47:13.364+03:00Au pengine kuna aliyetaka kufungua na kuona kama n...Au pengine kuna aliyetaka kufungua na kuona kama nyani ana ubongo wa aina gani? AU labda inaonyesha kuwa huyu nyani hakuwa huru....ngoja kwanza nikune kichwa...mmhhh!!!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-59097887663654828232010-01-22T14:39:09.156+03:002010-01-22T14:39:09.156+03:00Huo msumari wa kuning'inizia funguo kwanini um...Huo msumari wa kuning'inizia funguo kwanini umegongewa kichwani na si sehemu nyingine ya mwili?<br />Hapo ni kwamba kichwa ndo ufunguo wa maisha yako.Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.com