tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post4135501921912327653..comments2023-11-03T15:02:32.204+03:00Comments on Hadubini - My-o-scope: Rais wa Guatemala kumtaliki mkewe Sababu ya Mkewe Kutaka Urais!chibhttp://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-26551304576180702272011-03-23T18:10:52.620+03:002011-03-23T18:10:52.620+03:00Hawa walikuwa na mkataba tu, maana wameishi kwenye...Hawa walikuwa na mkataba tu, maana wameishi kwenye ndoa miaka 8 tu baada ya kukutana miezi 6 kabla.<br />@ Malkiory, na mimi ndio nilikuwa najiuliza, akishindwa ndio inakuwaje, au akishinda, atakuwa na gari dogo aka nyumba ndogo ya aliyekuwa rais?!!chibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-59517919371538086142011-03-23T17:25:53.438+03:002011-03-23T17:25:53.438+03:00kaaaaazi kweli kweli. Ina maana kuwa hawapeani ta...kaaaaazi kweli kweli. Ina maana kuwa hawapeani talaka kwa kushindwana bali kusaidiana ili kushinda urais. Kwa maana hiyo mapennzi yapo pale pale.<br /><br />Kweli dunia ina mambo!Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-55694523371494268092011-03-23T16:24:49.567+03:002011-03-23T16:24:49.567+03:00Watu kwa madili, kwahiyo asiposhinda! ndiyo imetok...Watu kwa madili, kwahiyo asiposhinda! ndiyo imetoka. Hawa wamepanga dili la ulaji tu wala si lolote. Ingekuwa Tanzania rais bila mume ingekuwaje!malkioryhttps://www.blogger.com/profile/05134160827358623563noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-26765719063053523072011-03-23T14:19:12.075+03:002011-03-23T14:19:12.075+03:00Kupeana TALAKA kwababu ya siasa mweh! hii sasa kal...Kupeana TALAKA kwababu ya siasa mweh! hii sasa kali kwelikweli....Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com