tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post2858908730875507436..comments2023-11-03T15:02:32.204+03:00Comments on Hadubini - My-o-scope: Rwanda: Ukatili Bado Unajitokeza Hapa na Palechibhttp://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-7059165608450281162012-05-04T19:42:46.372+03:002012-05-04T19:42:46.372+03:00Mmmhh hawa watu bwana mimi nawaogopa sana.Hata Ama...Mmmhh hawa watu bwana mimi nawaogopa sana.Hata Amani ya huko pia siiamini kaka yangu uwe makini.Mungu awasimamie sana.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-23673603821963616962012-05-04T14:29:28.425+03:002012-05-04T14:29:28.425+03:00Ama kweli nimeamini si lazima awe mtu wa baki. Ila...Ama kweli nimeamini si lazima awe mtu wa baki. Ila jamani kweli mtoto wa miaka kumi na mbili kumuua dada yake ambaye wamepishana miaka 2 tu. Kwa akili yangu lilikuwa si jukumu la dada huyu kumwandalia chakula kakake. ndio najua Nyumbani Afrika mtoto kuanzia miaka 6 na kuendelea anaweza kutunza familia. Lakini mweeh!!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com