tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post2405302371178404106..comments2023-11-03T15:02:32.204+03:00Comments on Hadubini - My-o-scope: Michael Jackson: Finally to be burried todaychibhttp://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-48667851111478942292009-09-04T15:22:07.030+03:002009-09-04T15:22:07.030+03:00Mazishi ya namna hiyo, ni tatizo la umaarufu.
Yasi...Mazishi ya namna hiyo, ni tatizo la umaarufu.
Yasinta..... Sijui kama mumeo atakubali!chibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-88980531801405844122009-09-03T15:59:47.950+03:002009-09-03T15:59:47.950+03:00Mi nitapenda wanivirigie kwenye mkeka. na hizo pes...Mi nitapenda wanivirigie kwenye mkeka. na hizo pesa wazitumia waliobaki:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8848699613289023034.post-69339857460527213702009-09-03T13:02:42.464+03:002009-09-03T13:02:42.464+03:00Hapo inaonyesha kuna wengi ambao wameingilia kuzui...Hapo inaonyesha kuna wengi ambao wameingilia kuzuia amri ya Mungu [kama unaamini biblia] ya umeumbwa kwa udongo na utarudi kwenye udongo itimie.

Nasema hivyo kwa kuwa sidhani kama jeneza la dollar elfu ishirini litaruhusu kirahisi kuachia mwili ugeuke udongo kama iaminikavyo inabidi tukifa tugeuke kurudi kuwa udongo kibiblia.

Na Kaburi lenyewe linaweza likawa limejengewa mpaka udongo wenyewe labda unajisemea kisiri wakati umelizunguka kaburi lililojengewa:''kunyemelea maiti hii ijiunge nasi noma hapa kweli uwigo mkubwa na geti kali!:-(''Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com